Zari na Diamond kurudiana! Babutale kuwapatanisha

Babutale kuwapatanisha Zari na Diamond warudiane, aenda Afrika Kusini kuongea kiutuuzima na Mama Tee.


Meneja wa Diamond Platnumz Babutale amefunga Safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kukutana na mzazi mweza wa msanii wake, Zari the bosslady kwa ajili ya mazungumzo ya kuwapatanisha yeye na Diamond warudiane toka Zari alipoposti ua jeusi.

Hatua hiyo imekuja baada ya Diamond kutoa VIDEO yake ya IYENA aliyomshirikisha Rayvanny, Tazama hapa stori kamili.