VIDEO: Whozu This is Tanzania

Baada ya Falz wa Nigeria kutoa This is Nigeria, Msanii wa Bongo Fleva Whozu ambaye ni msanii mwenye vituko vingi sana naye ameachia This is Tanzania.

Version hizo zimetoka kwenye This is America ya Childish Gambino, icheki hapa version ya Whozu