Video: Alikiba alianza kwa mbwembwe, mwisho ametoka kichwa chini – Samatta

Mchezaji wa Taifa Star na klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ameeleza mbinu za kimchezo alizotumia kumsambaratisha muimbaji Alikiba katika mechi yao ya hisani iliyochezeka Uwanja wa Taifa na kuhudhuriwa na maelfu ya watu. Mapato ya mchezo huo yatapelekwa kuchangia elimu nchini Tanzania.
VIDEO: