Ushamba na Ulimbukeni wa watanzania kuhusu Zari na Hamisa Mobetto


Watanzania wengi washamba sana.. Baba Nyerere angefufuka leo nadhani angewatia mboko asilimia 80 ya watanzania wote kwa akili zenu zilizojaa upupu. Mzee nyerere hakuacha taifa la majitu majinga hivi. Leo watanzania wamekuwa watu wa kumthamini mgeni kuliko mtanzania mwenzao. Au hutotuvingereza mkimsikia huyo zari basi mnashoboka ebu usee nyinyi. Unamtukana bint wa watu kosa lake nini. Diamond yupo na zari amekwenda kutembea na huyo Hamisa, Kosa la Hamisa ni nini.. Kutembea na Diamond au. Acheni ulimbukeni nyinyi,. Eti timu Zari..hamna za kufanya nyinyi.

Huyu binti Hamisa bado mdogo sana hana hata 25..Kila siku mnamtukana kisa huyo bibi wa Kiganda. Eti timu Zari badala muwe timu kilimo au timu biashara..mnakaa siku nzima mnashinda kwenye mitandao badala ya kufanya Kazi. Taifa la watu wambeya na usengenyaji. Mnatukana binti wa watu eti kaingilia mapenzi. Diamond i support mziki wako..lakini drama zako unafanya huyu Binti anatukanwa sana, Kumbuka unamtoto naye..sidhan km mtoto atafurahi akikuwa Mkubwa aone jinsi Mama yake alivyokuwa anatukanwa kisa wewe. Sikuchagulii mtu wa kumuoa but udhalilishaji huu kwa Hamisa uliusababisha interview yako ya Clouds fm.

Eti Hamisa malaya..nani siyo malaya Tanzania..huyo Zari kwani siyo malaya..si mdangaji tu.. ..Eti Zari ana pesa sana Tununu hana pesa..Pesa za Zari zinakuhusu..Acheni usee nyinyi. Na hii Tabia kubwa ya Midada ya kitanzania hata ikiwa nje ya Nchi kushoboka na wageni..ushamba mzigo sana.

Watanzania nawasihi sana acheni kushoboka na wageni, wapambane mastar wenu, Zari hana mashabiki sehemu yeyote zaidi ya Tz. Kabinti kadogo mnakachukia kwa ulimbukeni tu. Mishamba na miseee sana nyie.

Mdogo wangu wewe ni mzuri sana unayofanyiwa Mungu anaona. Nakushauri move on na endelea kuwa strong. Matusi ya watz yasikuondoe kwenye malengo yako. Diamond we msanii Mkubwa acha drama za kipuuzi.

By Blindspot/JF