PICHA: Jay Z na Beyonce wakiwa kitandani!

Tazama picha ambazo zimetrend sana kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wakishangaa kuoan Jay Z na Beyonce wakiwa kitandani huku Jay akiwa kifua wazi na Beyonce akiwa mtupu huku ingine ikimuonesha Beyonce yupo na Thong!

Wengi wanashangaa picha hizi kutokana na kitu ambacho hakijazoeleka kwa The Carters kufanya hivo huku wengine wakihisi ni kiki ya TOUR yao!

Alichoandika msanii wa Bongo Fleva Wakazi hiki hapa.

https://www.instagram.com/p/Bj1zrEtlIbQ/?taken-by=wakazimusic