Mimi Huyo Sio Mwanamke Wangu na Wala Sina Mpango wa Kumuoa...Tuna Kula Ujana tu

Kumekuwa na tetesi zinasambaa katika mitandao kwamba msanii nay wa mitego kwa sasa ana mpenzi mpya ambae ni mzuri na mkali zaidi ya yule mama wa watoto wake aliyewahi kuwa nae mara ya kwanza aliyejulikana kama siwema.
akiongea huku akikataa jina lake kuwekwa wazi, moja ya mapaparazi alisema kuwa kwa sasa nay ana chombo kipya kizuri kuliko hata siwema aliyekuwa nae mwanzo,’hivi mna habari kuwa nay saa hivi ana chombo kpya kisu kuliko siwema,ni mjasiriamali na ana karibia kumuoa na mara nyingi anakuwa nae pale kimara nyumbani kwake.’
Mimi nakuibia siri ya familia kwa sababu huyo dada amechukua sehemu kubwa ya siwema kwaio wamemwambia kuwa lazima amuoe huyo dada.
Baada ya hapo Ney alitafutwa ili kuweka ukweli juu ya jambo hilona kutuweka wazi kuhusu kila kitu kuhusu mahusiano yake, ndipo nay alipojibu kuwa kwa sasa hana mpango wakuoa.
Sina mpango wa kuoa mimi, na  mmepata wapi picha,sema kwanza picha umezitoa wapi na nani kakutumia ndipo nitakujibu kama ni mpenzi , mchumba au vipi.
Mimi huyu sio mwanamke wangu aisee, mimi nina mahusiano yangu mengine kabisa.
Hata baada ya kuulizwa hivyo Ney wa Mitego hakutaka kujibu tena swali lngine lolote zaidi ya hilo
 ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO: