AUDIO: Sikiliza THE URBAN FRESH Mixx Mpya ya Dj D Ommy

Dj D Ommy ameachia Mxx mpya THE URBAN FRESH Mixx


Dj D Ommy, the international Dj kutoka code ya Bongo Tanzania ameachia Mixx yake mpya ya THE URBAN FRESH Mixx mwezi huu wa June, 

Ni Mixx yenye ngoma za kizazi sana na za moto za Urban, Bongo Fleva, Nigeria, Dancehall, mpya mpya ikiwa na ufundi wa Djs kumix, ku-scratch na effects yenye mpangilio wa ngoma kali kwa Dakika 45 itakayofanya Weekend yako, Safari au bata lenu na wana kwenye bluetooth Speakers kuenjoy.

Kwenye mixx hii kuna wakali kama Chris Brown, Jason Derulo, Kranium, Lil John, Stefflon Don, Sean Paul, Ty Dollar $ign, Tinashe, Calvin Harris, Tiwa Savage, Vanessa Mdee, Lulu Diva, Feza Kessy, Sheby Medicine, Mesen Selekta, Switcher Baba, Mabantu, Nasty C, Davido, Wizkid, Patoranking, Mr Eazi na wengine kibao.
 
Isikilize hapa.Hii sio mara ya kwanza kwa Dj D Ommy kutoa Mixx zake, alianza kutoa mixx miaka ya 2013 zikiwepo Washa Washa Mixx, Valentine's Heart Felt, Beyond Borders, Respect The Dj.