Yvonne Chakachaka Atamani Kukutana na Rais Magufuli..Ampongeza Kwa Kazi Nzuri Anayoifanya

Mwanamuziki wa Afrika kusini Yvone Chakachaka yuko katika studio za Clouds akihojiwa na mtangazaji Baby Kabaye.

Kitu cha kwanza alichosema mwanaharakati huyu ni kwamba anatamani sana kukutana baba ambaye ni Rais Magufuli aweze kumshukuru kwa uongozi wa mfano anaoutoa kwa bara la Afrika.

Pili angependa kuonana na mama Magufuli na mama Maria Nyerere.

Source: Clouds 360!