VIDEO: SHiiKANE - Answer Me (Official Video)

Hawa ni wadada watatu kutoka Nigeria wanaounda kundi la ShiiKANE ni ndugu, wawili mapacha na mmoja ni mdogo wao wa mwisho., wamedondoka Bongo kwa ajili ya Media Tour na kutambulisha kazi zao, Tazama video hapa