VIDEO: Ngwair alichonifanyia sikuamini, Nilifuta Verse yangu - Fid Q

Fid Q ni moja ya watu waliowahi kufanya kazi na Ngwair, na ameelezea alichokifanywa ambacho Fid Q hakutegemea na kuamua kumwambia Majani na kumlazimu kufanya mabadiliko ya verse yake kwenye ngoma waliyofanya naye ya CNN, Tazama hapa.