VIDEO: Ali Kiba Agoma Kujibu Swali la WCB

Msanii wa Musiki wa bongo fleva nchini Ali Kiba amefunguka sababu ya wimbo wake wa mpya "Mvumo wa radi" kupotea viewers kwenye youtube chanel yake, huku akigoma kujibu swali aliloulizwa kuhusu WCB.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.