THE ROCK NA VIN DIESEL WAKAMILISHA LISTI YA WAIGIZAJI WANAOINGIZA MPUNGA MWINGI...


Ukiachana na "beef" zinazotengenezwa na mashabiki mtaani lakini The Rock na muigizaji mwenzake Vin Diesel wamekamilisha listi ya wasanii waigizaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi kwa miaka hii ya karibuni huku The Rock aliingiza kiasi cha dolla $22 million katika movie ya The Red Notice huku Vin Diesel akiingiza dolla $20 million katika movie yake ya The Fate Of The Furious ya mwaka 217.

Angalia listi kamili hapa chini na kiasi wanachoingiza...

Daniel Craig: Bond 25 (2019) – $25M USD
Dwayne Johnson: Red Notice (2020) – $22M USD
Vin Diesel: The Fate of the Furious (2017) – $20M USD
Anne Hathaway: Barbie (2020) – $15M USD
Jennifer Lawrence: Red Sparrow (2018) – $15M USD
Seth Rogen: Flarsky (2019) – $15M USD
Tom Cruise: The Mummy (2017) – $11-$13M USD
Harisson Ford: Indiana Jones 5 (2020) – $10-$12M USD
Sandra Bullock: Minions (2015) – $10M USD
Leonardo Dicaprio: Once Upon a Time In Hollywood (2019) – $10M USD
Robert Downey Jr.: Spider-Man: Homecoming (2017) – $10M USD
Kevin Hart: Jumanji: Welcome to the Jungle (2017) – $10M USD
Chris Pratt: Jurassic World: Fallen Kingdom (2018) – $10M USD
Emily Blunt: Jungle Cruise (2019) – $8-$10M USD
Bryce Dallas Howard: Jurassic World: Fallen Kingdom (2018) – $8M USD
Tom Hardy: Venom (2018) – $7M USD
Ryan Gosling: First Man (2018) – $6.5M USD
Jack Black: Jumanji: Welcome to the Jungle (2017) – $5M USD
Michael B. Jordan: Creed 2 (2018) – $3-$4M USD
Ethan Hawke: The Purge (2013) – $2M USD