Teairra Mari kumshitaki 50 Cent kwa kuposti pciha zake za utupu instagram

Kama utakumbuka wiki kadhaa ilisambaa kwenye mitandao picha na video ya utupu ya  Star wa Love & Hip Hop show wa Marekani, Teairra Mari akifanya mambo ya kikukwa na aliyekuwa mpenzi wake Akbar Abdul-Ahad, Sasa mwana dada huyo ameamua kumshitaki na kumfikisha mahakamani 50 Cent kwa kuposti video hiyo na picha yake ya utupu kwenye instagram.

kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya alhamis, May 17, Amri akiwa na wakili wake alisema kuwa anamfikisha mahakamani 50 kwa kitendo cha kumchafua kuposti picha na video ya ngono kwenye account yake ya instagram yenye followers wengi million 18, alisema kuwa alimfumania boyfriend wake wa zamani Akbar na alivunjika sana moyo kwa kitendo cha mpenzi wake huyo kumsaliti na yeye kuamua kumuacha na kuongeza kuwa hilo ndio tatizo kumuacha Akbar kwa kuwa ni rafiki yake na 50 Cent kwa hiyo walipanga wamchafue kama kumlipizia. 

Aliongeza kuwa boyfriend wake huyo alikuwa na password za account yake ya instaram hivyo aliposti video na picha hizo kwenye account ya Teairra Mari kuonekana kama ni yeye ndo kafanya hivo kumbe ni boyfriend wake huyo na ndio 50 Cent akareposti haraka kwa kumchana ili kumchafua.
“Last week I found out that my boyfriend was cheating on me, so I broke up with him,” an emotional Mari told reporters. “Right after that, he posted a sex tape and an obscene photo of me, clearly to humiliate me. Then his good friend 50 Cent posted the obscene photo of me on his Instagram and said, ‘Get the strap.'”

Picha hizo zilimkosesha raha kwa kuwa zilisambaa sana na licha ya yote baadae instagram walifuta picha zile kwa 50 Cent kwa kuwa sio nzuri lakini 50 aliendelea tena kuposti zingine na hciho ndio kilichomkosesha furaha zaidi kwa kuamini Akbar boyfriend wake wa zamani amemptia 50 ili wamchafue kwa kuwa alimuacha baada ya kumfumania. Kibaya zaidi, 50 wakati kaweka picha ingine ya Mari, alilalamika pia kwanini instagram wameifuta bila kumtafuta na ndio mana akaamua kuweka post ingine ni kama vile alikusudia zionekane na alisema kuwa kwanini wafute, na mimi naondoka instagram nabaki Twitter!!!

“I’m leaving IG, I’m going back to Twitter,” he said. “They take shit down off my page without notifying me.”

Mkutano na Waandishi wa Habari, Mari akiwa na wakili wake. (TMZ)

Wakili wa Mari, Lissa Bloom and Walter Mosley, wamepanga kufikisha file wa 50 mahakamani kwa kitendo cha kuposti picha chafu za kumchafua mteja wao, angawa Abdul-Ahad (ex-boyfried) anakataa kuhusika na kuwa na password na kusambaza hizo picha. Lakini Mari alisema tena kuwa hicho kilikuwa ni kisasi chake kwa kuwa ni wao tu walikuwa na mambo yao ya ndani kwenye simu ambaye alimpenda lakini hakujali na kumsaliti na kusambaza pciha chafu mtandaoni sababu ilikuwa ni siri zao tu. “Recently, my social media was compromised by someone who I felt was deserving of my love and trust,” she said. “That person proved to be untrustworthy and posted footage of what in the moment was private and sacred.” ptioned it. ?”