Sijamsaliti 21 Savage - Amber Rose

Baada ya kumwagana chini Amber Rose na 21 Savage na kusambaa kwa tetesi kuwa Amber ndio alikuwa chanzo cha kuancha kwao baada ya kukwichi kwichi na mchizi wa karibu na Savage, ikabidi watemane, Sasa Amber amekuja na hii.


Kupitia instagram live story, Amber Rose alielezea kusikitishwa kwake na kudai kuwa hajawahi kum-cheat 21 Savage na mtu wala rafiki yake kama tetesi zinavosema.

Baada ya kuachana kwao, Amber mara nyingi amekuwa akiongelea penzi lao lakini, 21 Savage amepiga kimya muda wote na watu walisema Amber alimsababishia pigo zito baada ya kumsaliti na mchizi wake na Savage!! jamaa huyo hakutajwa jina though.

Aliendelea kusema Amber kuwa, hata baba watoto wake, Wiz Khalifa pia hajajiusisha nae tena katika mapenzi tangu walipoachana. inaonekana Amber anatafuta amani kwa jamaa au kama vile bado haelewi kosa la kutemana kwao!!!

MRISHO MPOTO: Atakwenda MBALI SANA yule Kijana.