Ngoma Mpya: Jennifer Lopez feat. DJ Khaled & Cardi B – ‘Dinero’

J Lo amekuja na ngoma mpya liyomshirikisha msanii mwezake wote kutoka Bronx Cardi B na Dj Khaled. tayari ameshashoot video ya ngoma hii kwa taarifa na kwa mara ya kwanza ataiperform kwenye tuzo za Billboard Las Vegas. isikilize hapa