New Video: Nini Kolo

Msanii Nini ambaye yupo chini ya Free Nation ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kolo’, video imeongozwa na Kwetu Studio. Itazame hapa.