New Video: Mimi Mars – Papara

Kutoka Mdee Music, Mimi Mars ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘PAPARA’, audio ya ngoma hiyo imeteyarishwa na S2Kizzy kutoka Switch Records na kuandikwa na Young Lunya (OMG). Video ya ngoma hiyo ambayo ni ya nne kwa mrewmbo huyo tokea ilipoingia katika muziki imeongozwa na Justin Campos na imefanyika maeneo ya Johannesburg, nchini Afrika Kusini.