New VIDEO: Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Iyena (Official Music Video)

Baada ya kutoa Album yake ya A Boy From Tandale, Diamond Platnumz ameachia VIDEO mpya ya IYENA ambayo kamshirikisha Rayvanny.

Itazame hapa.

 
Hii ni mara ya pili Diamond kufanya kazi na Rayvanny na kumshirikisha kwenye nyimbo zake, mara ya kwanza ilikuwa ni Salome na Sasa ni Iyena. Iyena ni wimbo ambao upo kwenye album yake ya A Boy From Tandale. Nadhani baada ya Iyena.