Mange Amkingia Kifua Hamisa Mobetto Kwa Diamond "Mpe Vizuri Mpaka Akujengee Nyumba"Mange Kimambi ameandika haya kupitia Instagram yake:

Hivi wabongo mkoje? Embu mwacheni huyu msichana aishi kwa amani. Hivi amekosa nini? Kachukua mume wa mtu? Huyo baba Dully alikuwa ana mke kusema kavunja ndoa? Kwanza hao wote wamemkuta yeye..? Yani mijitu mingine bwana mishipa inawatoka kumbe wivu tu wanatamani wambake huyo Dai.
.
.
Eti oooh Diamond hayuko proud nae, sijui hamposti, sijui hatoki nae kwenye public. Embu acheni upumbavu, hao aliokuwa anawaposti walipata faida gani zaidi ya fedheha tu?
.
.
Yani wanawake wa Tz bwana. Kwanza why upostiane na mwanaume ambae hajakuoa? Hamkufunzwa stara makwenu?😏
.
Alivyokuwa na majizzo mliwahi kuona wanapostiana? Mbona hamkuwashwa kumuuliza why hawapostiani?
.
.
Hivi hamuwezi kutiwa kimya kimya? Ni mpaka dunia nzima ijue mnatiwa? Kwani usipomposti anaekutia ndio watu watadhani huna bwana ama? Wengine umri ka wangu bado wanaposti maboyfriend insta 😏.
.
.
.
@hamisamobetto Hawa wajinga wasikupe pressure ukaanza ujinga wa kupostiana kwenye social media. Akuoe kwanza. Kupostiwa au kuonekana wote kwenye public ndo kupendwa?? Walishapostiwa watu kibao leo wako wapi?? Kwa sasa kitu cha ajabu kitakuwa Diamond kuoa na sio kuposti mwanamke insta au kutoka nae public. .
.
.
hao wote alio waclaim kwenye public leo wako wapi? Zaidi ya kuwaharibia maisha yao kwa kuwaongezea msururu wa vitoto tu? Tena hata mkono wake usiwe unaposti huko snapchat.You don’t have to prove anything to anyone. Ujifunze kutokana na makosa ya wengine, Yani kama unataka viishe fasta na Dai anzeni kupostiana, kilichowamaliza Dai na Zari ni kuweka relationship yao YOTE kwenye public. Mpaka vya chumbani waliweka public.Don’t make the same mistake!
. .
@hamisamobetto Hata kama angekuposti bado hawataridhika watasema hajaandika caption ya mapenzi, hata akitoka na wewe bado watasema hakukushika kwa mapenzi. hawatokosa kasoro. So achana nao.We mtu amekuchagua wewe kamwacha nyumbu amedoda hapo anaftuka tu ka kiboko kijiba kimembana anatamani akumeze alafu uhangaike kupostiwa? hangaika kutafuta ndoa ndio utakuwa mjanja. Kupostiwa hata Penny alipostiwa🤣🤣. Tena la maana zaidi hangaika kujiendeleza kibiashara mpe penzi mpaka akujengee kanyumba kwa jina lako🙈😉