INTERVIEW YA JUMA NATURE - Vitu Nilivyofanya ALIKIBA na DIAMOND BADO / Sijaona TAMASHA lao kama WAO

Msanii wa mkongwe Juma Nature amefanya interview na kituo cha Times FM kwenye kipindi cha The Playlist na kuongea mengi sana, miongoni mwa stori ilivosambaa sana ni pale Nature aliposema, Wasanii Alikiba na Diamond anawafuatilia na anasema wanaiwakilisha Bongo vizuri kimataifa lakini Bado kwa nyumbani hawajaweza kufanya aliyoyafanya yeye kipindi chake, Msikilize hapa.