IDRIS SULTAN amtania Nedy MUSIC


Mara nyingi Idris Sultan amekuwa akiwatania mastaa wenzake kwenye account zake especially instagram, nyuma kidogo amekua akimtania sana Bill Nass, msanii wa Bongo Fleva kwa kuposti picha za mikoni yake ambayo walikutana nae kwenye harusi ya Alikiba wakiwa wote pamoja na kutumia neno moja tu, Aliyafinya

Sasa leo ameangukia tena kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music baada ya kuja na style mpya ya nywele, Idris ameposti mtindo huo wa Nedy Musci na ameandika kuwa utazani Tambi ukizingatia kipindi hiki ni cha mfungo wa mwezi wa ramadhani na tambi ni moja ya vyakula au futari katika mwezi huu na amezifanisha muonekano wake na nywele za Nedy.LULU DIVA: Rich MAVOKO ni Very HANDSOME, Ana FULL PACKAGE ( Ni Mwanaume HALISIA)