Hili Hapa Ndinga Jipya la Diamond Platnumz Toyota Land Cruiser 200 Series 2018

Katika ukurasa wa instagram wa tttrautouprades , wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la Diamond Platnumz