Harmonize kaweka record youtube

Historia imeandikwa leo May 29, Video ya harmonize_tz  Ft. DiamondPlatnumz "KWANGARU" imefikisha idadi ya Views MILIONI 10 ndani ya Mwezi Mmoja! na kuweka rekodi ya kuwa video ya kwanza Afrika Mashariki kufikisha idadi hiyo ya Watazamaji kwenye YouTube kwa muda huo.

Video hiyo iliwekwa kwenye YouTube April 14, 2018.

Awali KWANGARU iliweka rekodi ya kuwa Video ya kwanza iliyoongozwa na Mtanzania director_kenny chini ya kampuni ya zoom_production_ Kufikisha views Milioni 1 ndani ya siku Mbili. | This is Major 💪 Congrats!