VIDEO: Hakuna MSANII Mwenye ELA KUMZIDI DIAMOND - Harmonize

Msanii kutoka WCB Wasafi, Harmonize amesema kuwa kwa Bongo nzima, Msanii mwenye hela nyingi zaidi ni Diamond Platnumz, Harmo aliimia The Playlist ya Times FM kwa mujibu wake, Diamond ndiye msanii anayeongoza kuwa na ela nyingi. Msikilize hapa.