Dogo Janja Ajichanganya Hichi Ndicho Alichoandika kwa Mtoto wa Uwoya " Happy Birthday Mdogo Wangu"

Dogo Janja Ajichanganya Hichi Ndicho Alichoandika kwa Mtoto wa Uwoya " Happy Birthday Mdogo Wangu"
Leo May 8, 2018  watu wengi wanasherekea siku zao za kuzaliwa duniani wakiwemo  maarufu na wasio maarufu basi mtoto wa Irene Uwoya ambaye ni Krish ni miongoni mwa watu ambao wanasherekea siku yao ya kuzaliwa leo.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Dogo Janja ambaye ni baba yake mlezi Krish yaani mtoto wa mke wake Irene Uwoya ameandika caption ambayo imechukuliwa ni utani na mashabiki wengi na pia kuacha maswali.

>>>“Happy Birthday Mdogo Wangu Krish  Mungu akupe maisha marefu. Mama anatupenda watoto wake wote Tusimuangushe.😉”