AUDIO: Pusha T - Nipo TAYARI kwa CHOCHOTE na DRAKE


President wa G.O.O.D Music Pusha baada ya kutoa ALBUM yake ya Daytona ambayo ina ngoma ya Infrared na kwenye ngoma hiyo alimchana Drake kwa kusema kuwa Drizzy anaandikiwa ngoma, Drake naye alijibu kwenye Duppy Freestyle na kumchana sana Pusha na Kanye. - kwenye Freestyle hii Drake alishinda.

Sasa Pusha T amekuja na jibu la Drake kwenye THE STORY OF ADIDON ambayo kamchana Drake kuwa kukimbia majukumu ya mtoto, na kusema alizaa na porn star Sophie Brussaux kitu ambacho kimeonesha kuwa Drake safari hii kakaa, kapigwa pigo takatifu.
 
“I don’t hang with my friends who got child support issues. You can’t ball with me, you can’t do that.” 
 
“Who rolls out their child with a sweatsuit? Get out of here. What are you doing?” he said. “We couldn’t know about your child until you start selling sweatsuits and sneakers?”

Mpaka Sasa Drake hajajibu bado, ila Pusha T amefanya interview na Breakclub Club kwa simu na kuongea mengi sana kuhusu tuhuma za Drake kukimbia mtoto, kuzaa na pornstar na kusema kuwa yupo tayari kwa chochote na Drake. “I’m prepared for everything.”

Sikiliza hapa