alikiba amekabidhiwa Plaque yake


Mapema leo officialalikiba amekabidhiwa Plaque yake (tuzo maalum) kama Bongo Fleva #NyotaWMchezo akiwa ni Msanii Bora wa Kimataifa #BestInternationalAct Msanii Bora wa Kiume #BestMaleAct.Msanii mwenye nguvu na ushawaishi zaidi #MostInfluencialAct ikiwa imetokana na mchango wake kwenye muziki wa Bongo Fleva na jitihadi alizipiga kupeperusha bendera ya TZ, Kuvutia wengi zaidi (ku inspire) na kuwepo mpaka leo kwenye game toka zamani tangu alivyotoka na Single yake na Album yake ya Cinderellah.

Kiba amekua msanii mwenye nguvu katika Muziki na kwa kufanya kazi nzuri @timesfmtz The Playlist imeona kumpongeza kwa tuzo hii maalum #Plaque na kumtaja kuwa #NyotaWaMchezo wa Bongo Fleva. Kiba kakabidhiwa tuzo hiyo na Mtangazaji wa Kipindi cha The Playlist @LilOmmy Times FM mapema leo May 14 baada ya kumaliza mahojiano ya kutambulisha wimbo wake mpya #MvumoWaRadi #SonyMusic #RockStar #MoFaya