Breaking News: Video queen wa muda mrefu Agness Gerald maarufu kama #Masogange amefariki

Video queen wa muda mrefu Agness Gerald  maarufu kama #Masogange amefariki dunia leo katika Hospitali ya Mama Ngoma Mwenge.
AVMEDIA inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Endelea kufuatilia vyombo vyetu vya habari