VIDEO: ALIKIBA na DIAMOND Wakutana kumuaga MASOGANGE

Watu mbalimbali maarufu wakutana Leaders Clube mapema leo kumuaga aliyekuwa Video Queen Bongo, Agnes MASOGANGE.
Miongoni mwa watu hao, Alikiba baada ya kutoka kufunga ndoa Mombasa na kumsindikiza mdogo wake Abdu kiba ambaye naye amefunga ndoa jijini Dar es salaam mapema leo, ameenda viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Masogange, wakutana na Diamond, wapeana mkono na kuomboleza kwa pamoja. Diamond aongozana na msanii wake Harmonize.


Diamond
  Video kwa hisani ya bestizo: