Ujumbe wa X wa Agness Masogange baada ya kusikia taarifa ya msiba

Kupitia ukurasa wake wa instagram mpenzi wa jamani Rammy Galis aliandika hisia zake baada ya kupata taarifa za msiba wa mpenzi wake wa zamani Agness aliefariki siku ya jana aliandika hivi:

rammygalisofficialMkono Umekuwa Mzitoo Hata Kuandika Maumivu Niliyonayoo Naona Nashindwa .

 • Dunia tambara mbovu , unadeki salama mchana usiku unakua mmbovu.
  Umenifunza mengi niliyokua siyajui , ulisema nishkuru mungu watu wakikupenda kwani Adui haumjui.
  Miezi 11" tumeishi nashkuru ulinipeleka kupima ( Palestina ) , Nilitokwa na jasho ukanicheka ukaniambia huwez nipenda kama nikikataa ku
  pima .
  Magazeti ya udaku walipotaka SABABU sikuweza kuweka tofauti zetu HADHARANI kwani bado moyoni niliamini ipo siku Tungeweza Kumuepusha SHETANI .
  Tulikesha Usiku Na Mchana ili Ucheze Filamu Yetu Kwa Hisia " Ukasema Hii Iwe Kumbukumbu Yako Kama Niliwahii Hata Kwenye Kazi Zako Kukusaidia.

  SASA Kwanini Filamu Yetu Tulitunga jina liitwe #HUKUMU ?
  Ilikuwaje Story ya Filamu Mwisho Unafariki ?
  KWANI tulikua tunatungia iwe kweli Hukumu yako ???? Mungu ndio HAKIMU wa viumbe vyote katika DUNIA , Umeondoka ghafla sanaa , Na hii pia ni funzo umeniachia .
  #PumzikaSalama #MileleNakuombea #RIPLOVe

 
Mkono Umekuwa Mzitoo Hata Kuandika Maumivu Niliyonayoo Naona Nashindwa . Dunia tambara mbovu , unadeki salama mchana usiku unakua mmbovu. Umenifunza mengi niliyokua siyajui , ulisema nishkuru mungu watu wakikupenda kwani Adui haumjui. Miezi 11" tumeishi nashkuru ulinipeleka kupima ( Palestina ) , Nilitokwa na jasho ukanicheka ukaniambia huwez nipenda kama nikikataa ku pima . Magazeti ya udaku walipotaka SABABU sikuweza kuweka tofauti zetu HADHARANI kwani bado moyoni niliamini ipo siku Tungeweza Kumuepusha SHETANI . Tulikesha Usiku Na Mchana ili Ucheze Filamu Yetu Kwa Hisia " Ukasema Hii Iwe Kumbukumbu Yako Kama Niliwahii Hata Kwenye Kazi Zako Kukusaidia. SASA Kwanini Filamu Yetu Tulitunga jina liitwe #HUKUMU ? Ilikuwaje Story ya Filamu Mwisho Unafariki ? KWANI tulikua tunatungia iwe kweli Hukumu yako ???? Mungu ndio HAKIMU wa viumbe vyote katika DUNIA , Umeondoka ghafla sanaa , Na hii pia ni funzo umeniachia . #PumzikaSalama #MileleNakuombea #RIPLOVEšŸ˜¢
A post shared by RAMMY GALIS (international) (@rammygalisofficial) on