UJUMBE WA KIKWETE KWA ALIKIBA BAADA YA KUFUNGA NDOA.Rais mstaafu wa awamu wa 4 kwenye Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia jumbe msanii wa Bongo Fleva, Alikiba baada ya kufungua ndoa, leo april 14.

JK ametumia ukurasa wake wa Twitter ambao unaaminika kwa kuwa na tiki ya blue yani Verified kuandika kuwa anamtakia kila la heri Alikiba kwenye ndoa yake,

Ndoa hiyo inaseemekana imefungwa mjini Mombasa na Alikiba bado hajasema lolote mpaka sasa.