SHILOLE AFIKISHA FOLLOWERS MILLION 3


Shilole kwa mwaka 2018 amendelea kusogea na safari hii ni kupitia account yake ya instagram kufikisha followers million 3 kitu ambacho kinaonekana kama mwanga mpya kwa mwaka huu kupitia account yake ya instagram aliandika "Ili uishi kwa furaha Kuna vitu viwili ktk maisha hutakiwi kuvilazimisha (kuviforce)
1. Upendo/Mapenzi
2. Marafiki wa Kweli.

3 millions followers ni upendo wa mashabiki zangu, ndugu jamaa na marafiki. Namshukuru Mungu sijanunua, sijahonga wala kuomba followers, ila mmenipenda kutoka moyoni. Hakika Nawapenda pia. Naamin na najua bila nyie hakuna Shilole. Mungu anisaidie nifanye kazi nzur kwaajili yenu penye mapungufu km mwanadamu tusaidiane na tuchukuliane.

Shukrani kwa Mungu kwa kila jambo. Sauti Ya Wengi ni Sauti Ya Mungu🙏🙏. Asanteni Sana."