Rick Ross kuperform leo Kenya

Rapa wa marekani Rick Ross THE BOSS leo ana perform kwenye Tamasha la #NRGWave Nairobi, Kenya Carnival kuanzia Saa moja jioni akiwa na wasanii wakali kibao kama Khaligraph Jones wa Kenya, Nyashinski, Camp Mulla wanakutana kwenye stage baada ya muda mrefu sana na wengine kibao.

Rozay aliwasili jana April 27 Nairobi na kufanya interview kadhaa kwenye media na baadae appearance kwenye Bosses Private Party iliyofanyika nyumbani kwa mtu ikiwa na wageni waalikwa tu.

Belaire zilikuwa kila sehemu na watu walioakaribishwa waliokaribishwa ni watu maarufu wakiwa baadhi ya wasanii na watu wa media, Djs, Presenters, Models na wengine, ilikuwa ni classy na ya ki VIP.

Pakua Lil Ommy App kwa updates zaidi.