Rapper wa miaka 15 asema Cardi B ni bora kuliko Nikki Minaj

Vita baridi ya Nikki Minaj na Cardi B inaonekana inaazna kuwa kubwa tena ikizidi kuchochewa na baadhi ya watu.

Rapper wa kike ambaye ni mdogo kiumri Danielle Bregoli maarufu kama Bhad Bhabie (15), ameonekana kuingilia kati ugomvi huo na kumtaja Cardi kuwa ni bora zaidi ya Nikki.

Bhad Bhabie amesema hayo kupitia mtandao wa TMZ. “Cardi is way better than Nicki. I don’t care what anyone says. Cardi actually says stuff. Nicki just has attitude. So what? Wow! Big deal,” amesema rapper huyo.