Picha ya kwanza ya Diamond baada ya kutoka centro

Baada ya kulipotiwa kukamatwa na polisi Diamond hakupost kitu chochote kwenye ukurasa wake wa instagram siku ya leo kapost kwa mara ya kwanza toka siku ya juzi alipoachia video zake zilizozua utata kaandika hivi kwenye post iliyokuwa inamunyesha akiwa na msanii wake Harmonize.  • diamondplatnumzNi Mwendo wa Picha za Suti tu sasa hivi, Maana nisije nikafungua hata kashati nikajikuta Centro...Pole yenu Wa zee wa Gym, Kama Muscat Round hii🤣🤣🤣.... Wadau Nimeambiwa King Kiba kaoa leo...Mfikishieni Salam zangu, za Ndoa njema, na Maisha yenye Furaha, Amani na Baraka tele...🔥🔥🔥 #SanaaImezaliwaUpya #KWANGWARU