Baada ya mashabiki kumjia juu rapa Quavo,Nicki Minaj amewaomba mashabiki zake waache
kumchana Quavo baada ya rapa huyo kumuomba msamaha baada ya
kutofautiana wakati wa kurekodi MotorSport.
Nicki
Minaj baadhi ya mistari yake kwenye wimbo wa MotorSport kutokana na
maombi ya Quavo na Cardi B ila wawili hawa hawakuwa wakweli kuhusu
jambo hili na kufanya Nicki Minaj kuonekana waki.