New VIDEO: Harmonize x Diamond Platnumz - Kwangwaru

Video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kutoka WCB ya Kwangwaru hii hapa, Harmonize ni mara nyingine tena anafanya kazi na bosi wake Diamond Platnumz.

Mwanzo walikutana kwenye ngoma ya BADO na sasa ni hii hapa, icheki hapo chini.