New Video: Black Rhino ft. T-Touch & Hardmad – Panda Mnazi

Msanii wa muziki Bongo, Black Rhino ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Panda Mnazi ambao ameshirikiana na Mr. T-Touch na Hardmad, video imeongozwa na Msafiri, Kwetu Studio. Itazame hapa.