New VIDEO - Aslay X Bahati - Bora Nife (Official video)

Aslay ameendeleza kawaida yake ya kuachiwa mawe tu, ameachia nyingine tena muda mchache ulipita na Safari hii amekuja na Collabo la msanii wa Kenya, Bahati inaitwa - Bora Nife, icheki hapa.