Mtoto wa Agness Masogange ala shavu

Msamaliamwema mmoja mkoani Mbeya amejitokeza kumsomesha mtoto wa marehemu Agness Masogange mpaka chuo kikuu,Msamalia huyo ameyasema hayo jana mazishini walipokuwa wanampumzisha Agness kwenye nyumba yake ya milele.