Lil Wayne kawazingua tena mashabiki

Lil Wayne awapiga mkwara mzito tena mashabiki zake na kuwatishia kuwapiga risasi, ni baada ya kumrushia chupa jukwaani wakati aki-perfom mjini Sacramento, California.

Weezy alilazimika kuikatisha ngoma yake 'A Milli' na kusema, " Y'all throwing stuff on stage, I don't know if it's love or y'all tryna promote something but I'm from New Orleans and we don't know how to accept that shit. And I got New Orleans people with me and all they know how to throw back is 'shoot.'" .

Hii si mara ya kwanza kwa #Wayne kutupiwa vitu Stejini, ilimtokea tena Mwezi uliopita na kutoa ahadi hizo hizo dhidi ya mashabiki zake.