KUMBUKUMBU:2PAC alionekana mwaka 2012 tarehe kama ya leo kwenye stage

Toka kutokea kifo chake kuna mazungumzo tofauti wengine wanasema 2Pac yupo na wengine wanasema alikufa kama ulifatilia show ya Coachellaya mwaka 2012 kulikuwa na mengi yaliyozungumzwa baada ya 2 Pac kuonekana kwenye stage baada ya kifo chake.

Pac alionekana tarehe kama ya leo mwaka 2012 akiperform na waandaji wanasema walitumia technology ya kioo ambacho kilikuwa na kivuli cha Pac kilichokuwa kinaonyesha akiimba.
japo mpaka sasa tukio hilo watu huwa hawaamini kama ilitumika technology hio kwakuamini alikuwa ni Pac mwenyewe.