Khloé Kardashian inasemekana yuko mbioni kumsamhe mpenzi wake Tristan Thompson

Mwanamitindo Khloé Kardashian inasemekana yuko mbioni kumsamhe mpenzi wake Tristan Thompson, ambaye siku chache kabla ya mzazo mwenzake kujifungua alionekana akichepuka na mwanamke mwingine .
 
Khloé Kardashian 33,amejipatia mtoto huyo wa kwanza na mchezaji huyo wa mpira wa kikapu siku 12 zilizopita na tayari wamempatia jina mtoto huyo ambaye anajulikana kama True.
 
Ila kuna taarifa kuwa Khloé,you mbioni kuhama mjini Cleveland ambapo alikuwa akiishi na Tristan na anatarajiwa kurudi jijini Los Angeles ili aweze kuwa karibu na familia yake,ila taarifa hizo bado hazidhibitishwa na wote wawili kwani ni makubaliano ya wawili hao.