ICE CUBE KUGUSIA UBAGUZI A RANGI NA RUSHWA KATIKA MOVIE MPYA...

Rapa Ice Cube sio tu kwa umaarufu wake katika muziki wa Hip Hop au kwa uigizaji katika movie kadhaa za comedy kama Friday, 21 Jump Street and Fist Fight sasa rapa ice cube ameamua kufanya kitu cha serious ambacho kitakuwa na ''speech'' kubwa ndani yake.

Sasa kwa taarifa tu ni kwamba sasa hivi Ice Cube yupo katika matengenezo ya mwisho wa filamu yake ijuikanayo kama Excessive Force ambayo imeandikwa na Ice Cube mwenyewe pamoja na Jeff Kwatinetz na ndani ya movie hiyo jamaa atazungumzia ishu kubwa za ubaguzi wa rangi, uonevu wa polisi na rushwa katika maeneo mbalimbali