Harmonize kuangusha nyingine kabla Kwa Ngwaru haijapoa!


Baada ya kuachia Video yake mpya na Diamond mapema leo ya Kwangwaru, Harmonize amesema atadondosha nyingine aliyofanya na rapa hatari kutoka Ghana, Sarkodie.

Harmonize ameposti screenshot ya Video ambayo ni Collabo yake na Sarkodie kwenye account yake ya instagram na kuandika NEXT STOP! emoj ya video na dunia na kuandika ONLY IN #WCB cc @Sarkodie na kwenye post hiyo Diamond naye amecomment PERIOD!!!!

Wacha tuone lini Collabo hiyo itashuka.

A post shared by Harmonize (@harmonize_tz) on