Cardi B na The Barbados Singer Rihanna, wametajwa kwenye orodha ya Jarida la TIME kama watu 100 TIME100 walio na Ushawishi mkubwa

The Female Rapper Cardi B na The Barbados Singer Rihanna, wametajwa kwenye orodha ya Jarida la TIME kama watu 100 TIME100 walio na Ushawishi mkubwa, Waanzilishi, Viongozi na Manguli kwa mwaka 2018.

Cardi B sifa zake zimeandikwa na Muigizaji Taraji P. Henson akisema kuwa kwa wanaofikiri kwamba CardiB atapotea! Hell No, She's Here to Stay! "When her mixtape came out, I thought, That’s it. She found it! She’s clear on her talent, and she’s not trying to get in anybody else’s lane.  She recorded ‘Bodak Yellow’ because it’s what she loved. Now she’s the biggest thing in music. And even with all those eyeballs watching, she’s still unapologetically herself. Cardi B’s here to stay, baby, and I’m happy to be a witness.”- aliandika Taraji.
 
Katika List hiyo pia ameingia Mchekeshaji Maarufu, Trevoh Noah kutoka nchini Afrika Kusini. SWIPE kuona Video ya List yote ya Watu 100.