Cardi B ameendelea kukimbiza

Rapa Card B baada ya kuvunja record ya Apple Music safari hii Album yake ya 'Invasion of Privacy' inashika nafasi ya kwanza kwenye chati za Album za billboard top 200 na kumfanya awe rapa wa tano wa kike kushika nafasi hio baada ya Nicki Minaj Ilikuwa mwaka 2012,2011, Eve 1999, Foxy Brown 1999, 1997 na Lauryn Hill 1999.