Baada ya video ya Nandy na Billnass hii ni ya Diamond

Zimepita siku chache toka video ya faragha ya Nandy na Billnass kuvuja sasa siku ya Jumatatu leo kubwa kwenye mtandao wa instagram ni video za Diamond na mpenzi wake mpya ambazo zimetawala video hizi zinaonyesha Mond akiwa room na msichana ambae inasemekana ndio mpenzi mpya wa Diamond.


Kupitia account ya Harmonize instagram amepost akiwa yeye na Diamond na mpenzi mpya wa Mond na kuandika (Msipokuwa makini Taifa linarudi kwa wakoloni......!!!!! 🙄🙄🙄🙄)kitu ambacho kinaonesha mpenzi wa sasa wa Mond sio Mtanzania.

A post shared by Harmonize (@harmonize_tz) on


A post shared by 100+ (@mtumbuamajipu) on


A post shared by 100+ (@mtumbuamajipu) on