ALIKIBA AMEANDIKA HIKI BAADA YA KUKUTANA NA KIKWETE


Kumekuwa na taarifa zikizagaa kuwa msanii mkubwa na maarufu wa Bongo Fleva Alikiba amefunga ndoa huko mjini Mombasa lakini mapema leo Alikiba ameonekana katika picha moja na Rais mstaafu Dk Jakaya Kikwete nyumbani kwake alipomtembelea akiwa na mshikaji wake Ommy Dimpoz.

Kupitia twitter, taarifa alianza kuzitoa Mh Rais mstaafu Dk Jakaya Kikwete kwa kuandika hivi.

Sasa Alikiba naye ameanidka hiki kwenye page yake ya instagram.