PAPII KOCHA: Huu ndo WIMBO wa BONGO umepigwa sana GEREZANI, Msanii huyu AMETUOMBEA kwa RAIS tuachiwe

Tazama interview ya familia ya NGUZA VIKING na MWANAE PAPII KOCHA kwenye The Playlist Times fm, Papii aliutaja wimbo uliokuwa unasikilizwa sana wakati wapo jela na kusema kuwa ulikuwa unamliwaza, Pia alimtaja msanii ambaye alichangia kuwaombea kwa Mh Rais kupata msahama kwa mujibu wa Papii Kocha.